DAWA ZA KUTENGENEZA MAKALIO,KUPUNGUZA UKUBWA WA MAZIWA,KUONGEZA NGUVU ZA KIUME NA KURUDISHA BIKRA ZIKO HAPA....Bofya Hapa Umpigie Dr. Kessy Akusaidie



Pendeza na Dr Kessy Products . Ni dawa za Asili zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu, zimetengenezwa kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo ya Haraka

1.Tengeneza shep, mahips au makalio
Dawa ya kupaka 50,000
Vidonge 80,000.
2.Punguza maziwa na kuyasimamisha- 40,000/=
3.Punguza mwili pamoja na kilo- 60,000/=
4.Ongeza nguvu za kiume.
Jelly 45,000/=
Vidonge 60,000/=
5.Ongeza Maumbile ya kiume

Kifaa cha Kurefusha uume Kinachouzwa 160,000

Jelly ya kupaka 80,000/=
Kifaa/Mashine 160,000/=
6.Toa Mvi Sugu 50,000


7.Ondoa chunusi, madoa,makovu, michirizi sugu 45000/-


8.Punguza kitambi na nyama uzembe
kupaka 45000
Belt 60,000
Mkanda wa umm 170,000


9.Tengeneza mguu uwe kama chupa ya bia 40,000


10.Kuwa soft mwili mzima 60,000


11.Toa Mafuta usoni na kuacha uso mkavu 55,000/=


12.Ongeza hamu ya kula 40,000/=


13.Toa ngiri ya kupanda na kushuka 45,000/=


14. Zidisha usichana ( bikra) 60,000/=


15.Fanya mapenzi bila kuchoka 45,000/=


16.Refusha nywele na kuzuia kukatika au kutoa mba sugu 50,000/=


17.Toa Magaga miguuni 45,000/=


18. Rudisha nywele 150,000/=



TUNAPATIKANA DAR NA MIKOA YOTE, HUDUMA ZINAFIKA POPOTE ULIPO , DAR TUPO KARIAKOO MSIMBAZI NA POSTA MPYA

SOMO LA LEO: HAYA NDIO MAKOSA WAFANYAYO WANAUME WAWAPO KITANDANI NA MPENZI MPYA....!



Linapokuja swala la kujamiiana kwa wapenzi wapya ambao hawajawahi kukutana kimwili tangu kujuana kwao ni mtihani mkubwa. Kwani kila mmoja anakuwa na matarajio tofauti na mwenzake. 

Yaani hakuna anayejua kwa usahihi kwamba mwenzake anapenda afanyiwe nini ili kupata ashki ya kushiriki jambo hilo, lakini wanawake wengi ndio ambao hulichukulia jambo hilo kwa uzito mkubwa kiasi kwamba, kama mwanaume asipomudu kuwa mtundu kitandani, nafasi yake kwa mwanamke huyo inaweza kuwa finyu sana labda tu kama atakuwa amempendea pesa…

Hapa chini nitaeleza makosa yanayoonekana madogo yanayofanywa na wanaume kitandani wakutanapo na wapenzi wapya ambayo wanawake huyapa uzito mkubwa:


1. Kumuandaa 

Kumuandaa mwananamke sio pale muwapo kitandani tu, la hasha, maandalizi huanzia katika mazungumzo ili kumuweka katikamood. Hapa mwanaume anatakiwa aongee na mpenzi wake kwa lugha nzuri, kwa maneno matamu na yenye mahaba. Atumie muda mwingi kuzungumza naye, asiwe na haraka kuanza kufanya tendo. Mazungumzo yahusu masuala ya uhusiano ukiwemo upendo.

 Busu lililotulia na sio la papara linatajwa kuamsha hisia za mwanamke kushiriki tendo, lakini pia mwanaume anashauriwa kuwa msomaji mzuri wa hisia za mwanamke ili kujua ni eneo gani akimgusa kwa kumpapasa mwili wake unasisimka. 

Kwa mwanamke kufanya mapenzi sio kile kitendo cha kuingiliwa, bali ni kitendo cha kumuandaa kiakili na kimwili ili awe kwenye moodya kushiriki jambo hilo. iwapo mwanaume akili yake itakuwa inalenga tu kile kilichopo katikati ya mapaja ya mwanamke na labda matiti yake, basi hapo mwanamke atamuona sio kabisa, yaani hatoweza kumfikisha kileleni.


2. Unadhifu

Hakuna kitu kinachowakera na kuwakwaza wanawake kama mwanaume mchafu hususan wakati wa kujamiiana. Hilo linaweza kumfanya mwanamke asifikirie tena kufanya tendo na mwanaume huyo. 

Unakuta mwanaume ananuka kikwapa au amevaa chupi wiki nzima bila kuifua na akiivua eneo la chini ya kitovu lote linanuka au ana kucha ndefu tena chafu na zina ncha kali kwenye kona (sharp edge) kiasi kwamba akimpapasa mwanamke zinamkera badala ya kumpa ashki. Akipumua mdomo unanuka, yaani akimpiga busu mwanamke anamkata stimu yote ya kufanya tendo hata kama alikuwa tayari. 

Inashauriwa mwanaume kuoga na kupiga mswaki kama hana uhakika na harufu ya kinywa chake, la sivyo anaweza kutumia chewing gum za kuondoa harufu mbaya mdomoni kabla ya kukutana na mwanamke na pia kukata kucha na kuondoa ncha kali zile zinazojitokeza pembeni ya ukucha ili zisimkere mwanamke wakati wa kumuandaa……


3. Mapenzi ya vurugu na yenye kuumiza

Tukiacha tatizo la kukerwa na harufu na kucha, lakini pia wanawake hawapendi mwanaume anayetwanga nje ndani wakati wa kufanya mapenzi kama vile anachimba dhahabu. Wanawake wanapenda mitwango yenye staha. halafu itokee mwanaume huyo awe ana kucha ndefu zenye ncha zilizojitokeza pembeni, kisha awe anautumia mkono wake kumpapasa mwanamke sehemu mbalimbali za mwili wake huku akiendelea kutwanga kwa fujo……..Aaaaaaagh!! 

Asije akatarajia mwanamke huyo akatamani tena kujaamiana naye, labda kuwe na kitu kingine anachokitafuta kwa mwanaume huyo na siyo mapenzi. Kuna baadhi ya wanaume hupenda kuchezea chuchu za maziwa wakati wa kufanya mapenzi kwa kuziminya kwa nguvu au kung’ata maeneo mbalimbali ya mwili wa mwanamke kwa nguvu. Mwili wa mwanamke uko laini laini na unatakiwa ashikweshikwe kwa makini na kwa staha. 

Hakuna ubaya kumng’ata ng’ata mwanamke kimapenzi (love bite) hapa na pale lakini inashauriwa kuchunguza kama anafurahia kitendo hicho kwa kumwagalia usoni, akiona anaonyesha sura ya kukereka kwa maumivu, basi inashauriwa kuacha na kubadilisha kwa kujaribu kitu kingine kwani wanawake wana maeneo mengi sana ya kuamsha ashki, na akimpatia atamsikia mwenyewe akiweka msisitizo kwamba aendelee……


4. Kimya mno ….. Au kupiga makelele 

Wanaume wengi hupenda sana mwanamke anapopiga makelele pale wafanyapo mapenzi lakini pia wanawake hupenda kuona kama mwanaume naye anafurahia tendo kama anavyofurahia yeye anavyofurahia. kama mwanaume ni mkimya anapofanya mapenzi yaani haongei chochote yeye anatwanga tu, mwanamke anaweza kujiuliza kama mwanaume huyo anafurahia tendo au la. Wakati mwingine ile sauti ya kupumua kwa sauti itolewayo na mwanaume wakati wa kufanya mapenzi inaweza kuwaridhisha baadhi ya wanawake, lakini wengine wanapenda kusikia mazungumzo kutoka kwa mwanaume. 

Iwapo mwanaume atapotelewa na maneno kutokana na kusikilizia utamu wa tendo inashauriwa japo ataje jina la mwanamke hata mara chache ili kumfanya mwanamke ajue kuwa akili na mawazo ya mwanaume huyo yapo kwake.

Hapa naomba kuweka angalizo…. kama mwanaume ni mtu wa kuongea sana wakati wa kufanya mapenzi anaweza kumpotezea mwanamke umakini wa kuvuta hisia ili kufika kileleni. Kwani kuna baadhi ya wanaume huwauliza wanawake wanaofanya nao mapenzi maswali mengi yasiyo na maana.. “Unauonaje huu mtindo.”“Unajisikiaje nikikushika hapa.” “Je ninafanya vizuri na huumii.” 

Lo lo lo lo loooooo….Huna haja ya kuuliza maswali yote hayo, kwani mwili wake unakupa ushirikiano sasa maswali yote hayo ya nini….! Najua hakuna ubaya kumuuliza mwanamke kama anajisikiaje au kama unavyofanya ni sahihi kwa maana kama mtindo unaotumia haumuumizi, lakini hilo hufanyika katika hatua ya mwanzo, sio pale mchezo umekolea unaanza kuuliza maswali, unakuwa unamkera tu…… Funga mdomo wako na uendelee na shughuli.


5. Kulazimisha Oral Sex

Nikisema orol sex, nadhani mnaelewa. Kuna baadhi ya wanaume hupenda kuchezewa sehemu za siri au kunyonywa. Si vyema kumlazimisha mwanamke kunyonya bila ridhaa yake. Kama anapenda kufanya hivyo mwache aamue mwenyewe na sio umshike tu kichwani na kumuelekeza yalipo maumbile yako. Kama mwanamke anapenda kufanya hicho kitendo mwache afanye mwenyewe na hahitaji kuelekezwa..


6. Kumaliza haraka au kuchelewa kumaliza

Najua wanaume watasema “hii ni ‘too much.’ Kumaliza haraka ni shida na kuchelewa kumaliza pia ni shida, sasa tushike lipi…..!”Nataka muelewe, kama inakuchukua dakika mbili kumaliza, hilo ni tatizo kaka yangu, katafute msaada wa kitabibu uondokane na fedheha kabla ya kuparamia mwanamke. Kwa wanawake wengine inaweza isiwe ni tatizo iwapo utamuandaa vizuri kabla ya kumuingilia ili kama ni kumaliza mmalize pamoja hivyo kutogundua tatizo lako labda..! 

lakini kama sio mzuri katika kumuandaa mwanamke, linaweza kuwa tatizo na ukajikuta anakudharau baada ya kumaliza tendo… (Najua kwamba siku ya kwanza kukutana na mpenzi mpya inaweza kukufanya ukamaliza haraka kutokana na kuhemkwa, lakini basi jitahidi mara ya pili uende sawa usije ukamaliza haraka tena…..).

Lakini pia wanawake hawakuumbwa kwa ajili ya mashindano ya mbio za kufanya mapenzi. Nakubali kwamba wapo baadhi ya wanawake wanahitaji muda zaidi ili kufika kileleni. Lakini kama itachukua dakika 45 mpaka saa moja bado unatwanga tu, angalia usije msababishia mwenzio michubuko katika sehemu zake za siri. Inatakiwa kuonyesha ushirikiano katika jambo hilo zaidi ya kujipendelea mwenyewe……!


7. Hutupi kifanyio baada ya kumaliza…!

Kutupa kondom uliyotumia wakati wa kufanya mapenzi ni kazi yako na si kazi yake. Sio uungwana umemaliza kufanya naye mapenzi kisha unamwagiza akatupe kondom uliyotumia. Lakini pia sio busara kuiweka chini na kuiacha ikichafua sakafu. Haijalishi mko guest house, nyumbani kwako au kwa mpenzi wako, kinachotakiwa ni kuonyesha ustaarabu.


 Ni nyema ukaivua na kuiviringisha kwenye toilet paper, karatasi au kipande cha gazeti na kuiweka mahali pazuri kabla ya kwenda kuitupa mahali panapostahili………. Vinginevyo mpenzi wako atakuona wewe sio msafi na siyo mstaarabu……

KWA WADADA: UKITAKA KUPATA MCHUMBA WA UKWELI FANYA HAYA YAFUATAYO;;;;;

 
Wadada wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na dhana kuwa ukionyesha maungo ya mwili kwa kuvaa vinguo vifupi basi wataolewa haraka lakini kumbe wanajidanganya na kuishiwa kumegwa na kutupwa kule


Mie nawaambia Hivi Ukitaka kupata mchumba wa maana basi fanya yafuatayo:


Vaa nguo ndefu kuvuka magoti, zisiwe transparent, kifua kisiwe wazi, viatu flat, kucha na kichwa visiwe na manjonjo mengi, usiwe mwongeaji ovyo,epuka unywaji pombe, unnecessary outing, ukali usio wa lazima, nidhamu kwa wote, upole, bila kusahau usafi na ibada.
Ukiyafanya hayo yote hata kama umejificha uvunguni utaonekana tu! Bisha!

SOMO LA LEO: WADADA WA NAMNA HII NI SHIDAAH KUWA NAO KIMAHABA

Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini….. 

1.Demu wako wa zamani Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli ni kwamba hakika mwanzoni mlikuwa hamuendani na ndio sababu ya iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano yenu,ndani ya hizo sababu kuna vitu vilivyopolekea kutokea kwa hayo, ukichunguza na kuziangalia kwa makini utagundua ni za asili na ambazo si rahisi kwa mmoja wenu kuzibadilisha sababu ni vitu au mambo ambayo yatakuwa ni ya damuni. 

2.Dada wa rafiki yako kipenzi Epukana na kujiingiza kwenye mahusiano na dada wa rafiki yako. Si tu kwamba utaweza kujiingiza kwenye uhasama na chuki kama mambo hayatakwenda sawa, ila pia utaweza kujiweka kwenye mazingira ya kujikuta siku moja unapigwa hata ngumi za uso sababu tu ulimuumiza dada yake. Pia, utaweza kumkosa mtu ambaye ndie alikuwa ni kimbilio lako kwa mambo mbalimbali pale ambapo itatokea wewe na dada yake mambo kutokwenda sawa, sababu hapo patakuwa na mgongano wa kimaslahi kwa huyo rafiki yako. 

3.Wanawake wenye mambo mengi Kiukweli, kutoka na watu kama hawa kinaweza kuwa ni kitu cha kufurahisha, ila mwisho wa siku itakuingiza kwenye matatizo. Mara zote kumbuka ni vyema kuwa salama kuliko kujuta. Usijiingize kwenye majaribu ambayo utakuja kuyajutia kwa maisha yako yote.

4.Wanawake wanaopenda hela kupitiliza (Wachunaji) Kuwa mbali nao, labda kama unataka salio lako limalizike pasipo wewe kujifahamu. Naamini hili kila mmoja analifahamu na halihitaji darasa zaidi. 

5.Demu wa zamani wa rafiki yako Kama unathamini urafiki wako na mshikaji wako achana na habari ya kutoka na aliyekuwa demu wake. Mambo yanaweza kubadilika na kuwa kama au zaidi ya yaliyotokea kwa rafiki yako na ikaja kula kwako zaidi. Wakati mwengine inaweza tengeneza chuki kati yako na rafiki yako, huku akiamini kwamba ulikuwa unatoka au kumnyemelea demu wake toka zamani. 

Wadau mademu wapo wengi sana, fanya kutafuta wengine nje ya hawa….. ni ushauri tu.


-Udaku Specially

WAKUBWA TU! MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUWA MJAMZITO

 
Ujauzito ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi kwa mama na mtoto. Tusichukulie suala la ujauzito kama jambo la kawaida ingawa pia ni wajibu kwa mwanamke.

Ujauzito siyo hali ya hatari au kutisha endapo mambo ya msingi yatazingatiwa kabla ya kuwa mjamzito na kipindi cha ujauzito hadi baada kujifungua. Katika kipindi cha ujauzito kuna mambo mengi ambayo ni mabadiliko humtokea mama na mtoto aliye tumboni.

Katika makala haya tutazungumzia mambo ya kuzingatia kabla ya kuamua kubeba mimba, siyo kila mwanamke anaweza kubeba mimba kwa sababu wengine huwa na matatizo katika mfumo wao wa uzazi, aidha homoni zao hazifanyi kazi vizuri na mayai hayazalishwi au hayapevuki.
Huenda pia mirija ya uzazi imeziba au ana matatizo ndani ya kizazi.

NINI CHA KUFANYA?
Ni vyema upange sasa unataka kuwa mjamzito au mwezi fulani unataka kushika mimba, uwe na mpango. Hata hivyo, hakikisha umri wako upo zaidi ya miaka 20 kwa usalama zaidi wa afya yako.
Mshirikishe mwenzi wako na mwambie ungependa upate ujauzito, siyo vizuri kushtukiza kwani inaweza kukupa ‘stress’ wewe mwenyewe au mwenzako endapo mmoja wenu hajajiandaa kisaikolojia.

CHEKI AFYA YAKO
Hakikisha una afya njema, huna magonjwa sugu kama kisukari, shinikizo la damu, magonjwa mengine ya moyo, kansa, HIV, kifafa, pumu, siko seli au grupu lako la damu ni RH negative.Endapo una matatizo haya hapo juu, basi haraka wasiliana na daktari wako wa masuala ya uzazi akupe ushauri kwani magonjwa mengine yatakusumbua wakati wa ujauzito, au magonjwa yenyewe yatamwathiri mtoto.

Hakikisha huna magonjwa au matatizo katika viungo vya uzazi, mfano kutokwa na uchafu ukeni wenye muwasho na harufu mbaya, vipele au vidonda sehemu za siri, maumivu wakati wa tendo la ndoa, kutokwa na damu au usaha ukeni. Vile vile mfumo wako wa uzazi uwe vizuri, matatizo katika mfumo wa uzazi ni kama vile maumivu ya tumbo chini ya kitovu, kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi, kutopevusha mayai na kukosa hamu ya tendo la ndoa.

VILEVI ACHA
Epuka unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara, hili hata kwa mwanaume anayetaka mtoto.
Mwanamke kabla ya kuwa mjamzito hakikisha unakula sana mboga za majani ili upate kiwango kizuri cha vitamin ya Folic Acid, ni vema ule sana mboga za majani au upate virutubisho vya Folic Acid. Endapo hutakuwa na kiwango kizuri cha Folic Acid, kuna hatari ya kuzaa watoto wenye matatizo.

MAZOEZI
Fanya mazoezi mepesi mara kwa mara ili kuimarisha nyonga na viungo vyako vingine na usipate matatizo wakati wa kujifungua. Pata ushauri wa daktari kipindi muafaka.

YANAYOKWAMISHA UJAUZITO
Matatizo yanayoweza kukusababishia usipate mimba ni kutofahamu siku za kupata mimba, kuziba mirija ya uzazi.Pia uwepo wa uvimbe ndani ya kizazi na kwenye vifuko vya mayai. Uvimbe wa aina hii unaweza kutibika kwa dawa na ukaisha au kwa njia ya upasuaji, inategemea na daktari wako atakavyoona na kuamua.

Kwa upande wa wanaume wanaojiandaa kuwa wazazi, ni vema umjulishe mpenzi wako sasa unataka mtoto au lini unataka mtoto. Tibu magonjwa yanayoathiri mfumo wa uzazi, mfano maumivu ya korodani, maumivu ya njia ya mkojo, upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume. Kutoa manii mepesi sana kiasi kwamba baada ya tendo la ndoa manii zote zinatoka ukeni.

Ni vema ukapime mbegu zako za kiume kuona kama zina ubora wa kutosha, usiwe na maumivu yoyote ya mwili kwani yataweza kukusababishia kupunguza nguvu za kiume na kushindwa kufanya tendo la ndoa.

SOMO LEO: MPENZI WA MBALI UKISEMA KATULIA, HAKUSALITI, UNAJIPA MOYO TU!

Mchezo wa wapenzi kusalitiana umeshamiri sana kwenye jamii yetu. Ni kitu kinachouma sana lakini cha kushangaza imefika mahali watu wanaona ni cha kawaida kwa kuwa ni vigumu kumzuia mtu asikusaliti akiwa ameamua kufanya hivyo.Kamchezo haka kapo kwa jinsizote lakini leo niwazungumzie wasichana ambao baadhi wamezidisha na kuwaogopesha wanaume wengi kujiingiza kwenye mapenzi.

Tabia ya msichana kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja hasa kimjinimjini imekuwa ni kama fasheni. Unaweza kusema wewe uko peke yako kwa huyouliyenaye lakini kumbe unajidanganya. 

Hii ni kwa sababu wengi wanasaliti kwa umakini mkubwa bila ya wanaume kushitukia huku tamaa ya fedha na vitu vya thamani vikiwa ndiyo chanzo.Matokeo yake sasa unakuta binti anakuwa na mwanaume wa kumlipia kodi ya nyumba, wa kumfanyia ‘shopping’ na wa kumlisha.

Wenye tabia hiyo wengi wao niwale wasichana wazuri ambaowakikatiza mbele za wanaume ni lazima wapate usumbufu wahapa na pale. Hawa wanapokosa msimamo wa kusema ‘no’ kwa wanaume wanaowatokea, matokeo yake ndiyo hayo ya kuwapanga foleni wanaume.

Kinachoniuma sasa ni kwamba, kuna wanaume ambao wao wanatafuta wanawake wa kuoa na wanapokutana na wasichana hawa, hujikuta wakiwekeza ile mbaya wakidhani wamebahatika kupata wasichana wazuri kumbe wameingia ‘vyoo vya kike’.

Ukitaka kujua ni kwa jinsi gani wanaume wengi tunasalitiwa na wapenzi wetu, msikilize kijana huyu ambaye ni mmoja wa waathirika wa tabia hii ya wasichana kujimilikisha wanaume zaidi ya mmoja.Anasema: “Katika maisha yangu nimekuwa na ndoto za kuwa na mke mzuri, niliamini nikiwa na kazi nzuri na mke mzuri, maisha yangu yatakuwa ya furaha sana.“Mungu akanijaalia nilipomaliza chuo nikapata kazi na siku moja nikakutana na msichana ambaye hakika alikuwa chaguo la moyo wangu. Umbo lake lilinivutia sana ila hofu yangu ikawa kwenye tabia.“Sikutaka kumkosa, nikajiaminisha kwamba atakuwa mzuri pia kitabia. 

Nilipomtokea na kummwagia sera zangu, naye alionesha kunipenda na hapo ndipo tulipoanzisha uhusiano wetu.“Siku za mwanzo alionesha kunipenda na kuniheshimu sana. Sikuona dalili za kusalitiwa licha ya kwamba alipokuwa mbali na mimi nilihisi mapedeshee wangeweza kuniibia. 

Uzuri alikuwa akinipa moyo kwamba,amepita kwa wengi lakini kwangu amefika na wala nisifikirie kuna siku atanisaliti.“Siku moja tukiwa chumbani kwangu, aliumwa ghafla. Hali yake ikawa mbaya, nikawapigia simu ndugu zake na kuamua kumpeleka hospitalini. 

Kutokana na kuumwa kule, simu yake ilibidi nimshikie.“Mara ikaingia simu kutoka kwa mtu aliyeseviwa kwa jina la Mche Mungu. Sikupokea, ikaita mpaka ikakatika. Baadaye ikaingia sms iliyoandkwa hivi; Vipi baby, mbona hupokei?”“Ujumbe huo ulinishangaza sana, nikagundua kuna mwanaume mwingine anapendwa. 

Niliumia sana. Baada ya mchumba wangu kupata nafuu na kumkabidhi simu yake, alionekana kukosa amani zaidi hasa baada ya kugundua kuwa niliona sms aliyotumiwa.”Ushuhuda wa kaka huyu unatupa fundisho kubwa sana.

Wasichana wengi wa mjini ni wazuri na wanayajua mapenzi kweli lakini wengi wao wametawaliwa na utapeli tena wa kisiri sana.Unaweza kutokea kumpenda sana lakini kumbe yeye ana lake jambo, anakuchukulia kama wa kukuchuna tu na nyuma yako unachagia penzi na wenzako kibao.Kikubwa ni kwamba, unapoingia kwenye uhusiano na msichana yeyote na ukaona anafaa kuwa mkeo hata kama utabaini kuwa ni mapepe, fanya haraka umuoe.

Ukishamuoa angalau unawezakuwa na imani kwamba hawezikutoa ‘sukari’ yako kwa mtu mwingine licha ya kwamba, hata ukimuoa akiamua kukusaliti anaweza.Kinachosaidia ukishamuoa ni kwamba, atatakiwa kufanya kazi ya ziada sana kukusaliti bila ya wewe kujua na hata akikusaliti haitakuwa kwa kiwango kikubwa.Wapo ambao wanaishi mbali na wapenzi wao, ikifika saa tatu usiku anamuaga mpenzi wake tena kwa maneno matamu kisha anasema anazima simu. 

Akishazima simu anakwenda kwenye mishemishe zake. Wewe uko mbali na unajua mwenzako kalala, kumbe yawezekana kaenda kwa mwanaume mwingine.Mimi nadhani ni suala la kuaminiana tu lakini kiukweli kabisa mke au mume ni rahisi sana kumkontroo lakini mpenzi tena ambaye mnaishi mbalimbali, ukijiaminisha kwamba hakusaliti, unajipa moyo tu.

ZIFAHAMU ATHARI ZA KUFANYA MAPENZI KINYUME CHA MAUMBILE

 




Ndugu zangu, ni imani yetu kuwa jamii yetu inahitaji kuelimishwa sana ili tuweze kuikomboa mikononi mwa hii dhambi ambayo ndo dhambi kubwa kuliko zote......


Tusipende kuiga kila kitu toka kwa WEUPE.Kabla hujafanya maamuzi yoyote Ni bora ukumbuke mambo yafuatayo:-


1. TIGO Sio tendo asilia katika swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..


Wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako. ........


2.Mpaka sasa sidhani kama kuna kondom imara yenye uwezo wakustahimili joto la huko "nyuma" .....


Kondom za kawaida husababisha muwasho utakaoweza kukusababishia maambukizo mengine yatokanayo na wadudu asilia walioko sehemu hiyo ya haja kubwa......



3.Mara mishipa ya makalioni ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.


EPUKA KUJIZIBA MATAMBARA....UTU WAKO NI MUHIMU SANA.
NI HAYO TU KWA LEO WADAU...!!!
Older Posts
© Copyright VIJIMAMBOZI Published.. Blogger Templates
Back To Top